Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,514
- 4,531
2up ni timu uliyoipa ikiongoza kwa difference ya goal 2 kwa muda wowote ule inahesabika kama win bet na 1 up ni ikiongoza goli moja at any time.Wakuu toeni maana ya hizi code
2up
1up
way handicap
over/under