Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkeka wa AI huo. Umenipa odds 7
 

Attachments

  • Screenshot_20261011_100422_SportyBet.jpg
    Screenshot_20261011_100422_SportyBet.jpg
    135.5 KB · Views: 12
Jana kuna kitimu kimepigwa 6‐0 kimenichania matreni yangu yenye odds maelfu nimabaki na matreni mawili tu ..ngoja leo nijaribu kuongeza matreni kidogo


6NGQ27
 

Attachments

  • Screenshot_20261011-133255_SportyBet.jpg
    Screenshot_20261011-133255_SportyBet.jpg
    70 KB · Views: 8
Wekeza kidogo kidogo, kila siku, weka hata milioni, furahia maisha, anayependa tuungane pamoja mnakaribishwa.
 

Attachments

  • Screenshot 2026-10-11 at 19.06.21.png
    Screenshot 2026-10-11 at 19.06.21.png
    72.2 KB · Views: 10
Wale wa liver kuku game nzima ipatikane goli mbili haya sasa wakati umewadia vaeni njumu muingie kutafuta hizo goli mbili

Muhindi
 
Back
Top Bottom