Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 3,775
- 10,094
Chukua game zote za uefa round 2 zipo 18 kuanzia kesho na jumatano weka option ya 00:01 -9:59 ×Tupe code tustake.
Chukua game zote za uefa round 2 zipo 18 kuanzia kesho na jumatano weka option ya 00:01 -9:59 ×Tupe code tustake.
Yaani liwe treni la siku 2 au....?Chukua game zote za uefa round 2 zipo 18 kuanzia kesho na jumatano weka option ya 00:01 -9:59 ×
Tupo hapa Kaka... Mechi 15 dakika 10 sare sio kweli... Hapo maana yake ni sawa na umecheza mechi dakika 150 kusiwe na goli .... Kila mechi dakika 10 kwa mechi 15 ni sawa na kuzuia kusitokee goli mechi nzima dakika 90 na ziada 60 zote kusiwe na goli wewe unaona linawezekana hilo!??....Chukua game zote za uefa round 2 zipo 18 kuanzia kesho na jumatano weka option ya 00:01 -9:59 ×
Shusha codes mzee wa kazi...!
🤣🤣Kuna mmoja hapo mapema tu atatikisa nyavuHivi izi game za uefa zote kumi na nane ukiweka interval ya 10 min draw ukastake muhindi atumuumizi kweli hapa.
🤣🤣Kuna mmoja hapo mapema tu atatikisa nyavu
Fumba macho, chomeka mzigo!Mh inamaana likipoteza uelekeo mtoto anakua wa nje ya ndoa?
Anyway share code hapa
Eeeh siku mbili za kushikilia bombaYaani liwe treni la siku 2 au....?
Inatoa hii amini kwambaView attachment 3689345
Ngoja tumridhishe mdau tusimvunje moyo mzee baba.
Palac mechi 18 ulizosema tayari mechi 1 imeshatembea, haya 17 hizo hapo 1 - 10 Draw. Kila la heri mdau...!
Haina nomaView attachment 3689345
Ngoja tumridhishe mdau tusimvunje moyo mzee baba.
Palac mechi 18 ulizosema tayari mechi 1 imeshatembea, haya 17 hizo hapo 1 - 10 Draw. Kila la heri mdau...!
Jiwe gizaniTupo hapa Kaka... Mechi 15 dakika 10 sare sio kweli... Hapo maana yake ni sawa na umecheza mechi dakika 150 kusiwe na goli .... Kila mechi dakika 10 kwa mechi 15 ni sawa na kuzuia kusitokee goli mechi nzima dakika 90 na ziada 60 zote kusiwe na goli wewe unaona linawezekana hilo!??....
Hakika ni jiwe gizani an lolote linaweza kutokea,,kama nilivojizima data jana kwa Newcastle kumpa mazima amebondwa kama mtoto 🤣🤣🙌Jiwe gizani
Newcastle ni nzuri sana inapo cheza na team kubwa na ikiwa nyumbani ipe mazima au home over 1.5Hakika ni jiwe gizani an lolote linaweza kutokea,,kama nilivojizima data jana kwa Newcastle kumpa mazima amebondwa kama mtoto 🤣🤣🙌