Kumekucha Mzee Baba...! Twende Vitani.
Mida ya kubeti
hawa juzi waliuza mechi live bila chengaQmmk hawa Saint Gellois ni wa kupiga ban ******* sana.
Acha tuone ila itatoa tuView attachment 3689704
Palac nimekuwekea na hizi 1 - 5 min ila sio Draw nimeweka Under 0.5 coz ukiangalia Draw na Under 0.5 utaona Under 0.5 inazidi vi-points kadhaa hivi, nimeongeza na mechi 2 za Orlando Pyrates na Mamelodi, treni la leo na kesho. Kila la heri...!
😂😂😂😂 KwannDogoli una mambo mchanganyiko 😁
Hadi raha
Ngoja ninukuu hii code kwa ajili ya rejea.7SATMZA
Mara unatabiri nyota, mara tiba za asili.....mara vuuup ukaibuka kwenye mapenzi.😂😂😂😂 Kwann
Kwa hii code yake ya leo sina shaka nae.....weka unachoweza kupotezaMara unatabiri nyota, mara tiba za asili.....mara vuuup ukaibuka kwenye mapenzi.
Leo unatupia mikeka 😁
Bro Joanah tia mkeka huoKwa hii code yake ya leo sina shaka nae.....weka unachoweza kupoteza
Eeeeh majini yangu noma hayana mambo mengi kama Pele kote kote yanapiga rahaaa iliyoje 😂😂Mara unatabiri nyota, mara tiba za asili.....mara vuuup ukaibuka kwenye mapenzi.
Leo unatupia mikeka 😁
Sawa swala la SGR nitalifanyia kazSawaa commander.....shusha vitu
Usisahau matreni
😂😂😂 Nakuelewaga, hauna baya bro....Eeeeh majini yangu noma hayana mambo mengi kama Pele kote kote yanapiga rahaaa iliyoje 😂😂😂😂😂