Utabiri wa Leo huu toka jana tunamkung'uta kanjiKutokana na ombi la watu kuomba niendelee kuleta utabiri wa mpira bas nimerud rasmi.View attachment 3689779
A.madrid hata dakika ya kwanza haijaisha tayari kashatia chuma😅Hivi izi game za uefa zote kumi na nane ukiweka interval ya 10 min draw ukastake muhindi atumuumizi kweli hapa.
Sio mbaya next time 🔥A.madrid hata dakika ya kwanza haijaisha tayari kashatia chuma😅
Biashara hiyo wewe unaona pesa mhindi nae anaona pesaSlavia Prague kaondoka na kilo yangu mapema sana.
Ngoja tuone Hawa mawakala wengine wa Asmodeus wanasemaje
Jana nimeacha kuweka timu za maana na zote zimetoa Leo nakuja kumuamini Slavia P tena kwa asilmia100% hata wazo la kumtoa sikuwa nalo .Biashara hiyo wewe unaona pesa mhindi nae anaona pesa