Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,514
- 4,531
Jumamosi watu walichukua hela , sasa naona katumwa Asmodeus na mammon waje wazichukue zaidi na zaidiii
Hii game ni ngumu kwa arsenalArsenal vp wakuu
Naona kashamfunga mbili, barcelona nne sahvHii game ni ngumu kwa arsenal
Hii game inter alitakiwa kuimaliza mapema sana tu anacheza kama anacheza na parmahawa Brugge wanapiga mpira mkubwa sana aisee kama hukupita na odds za bure za GG lala tu
Unaambiwa ambao hawabeti nao waliomba odds mbili ndo mambo yamekua hiviiiiDaaah Leo KAZI ipo
Walishajikatia tamaa mapema mnoHii game inter alitakiwa kuimaliza mapema sana tu anacheza kama anacheza na parma