Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,815
- 3,821
Nadhani Palac atakuwa ameelewa tulichokuwa tunamwambia akawa anabisha.Nakusalimia ndugu ...vipi huko Bayern na atletico.... Tena wewe umepunguza dakika 5... Hapo vipi
Nadhani Palac atakuwa ameelewa tulichokuwa tunamwambia akawa anabisha.Nakusalimia ndugu ...vipi huko Bayern na atletico.... Tena wewe umepunguza dakika 5... Hapo vipi
Nikisoma hii comment nikijumlisha na matokeo ya jana, una kila HAKI ya kuandika hivyo mzee baba, anazingua huyo jamaa...!Kumalamamaaako
Unawaopti vp mkuu kwa gg au under/overTimu za Germany always safe options kwangu huwa ni magoli
MKUU MATUSI YA NINIKumalamamaaako
Hatutaki matangazo ya kitapeli humuMKUU MATUSI YA NINI
UTAPELI GANI MKUU MIMI KWANI NAUZA ODD NATOA MIKEKA BUREHatutaki matangazo ya kitapeli humu
Sasa matangazo ya nini kama unatoa special option toa humu humu maswala ya channel ni ya nini uzuri dunia ya sasa kuokota mtu ni ngumuUTAPELI GANI MKUU MIMI KWANI NAUZA ODD NATOA MIKEKA BURE
Mkuu humu ni mara chache ndio maana nina channel kujiunga siyo lazima .Sasa matangazo ya nini kama unatoa special option toa humu humu maswala ya channel ni ya nini uzuri dunia ya sasa kuokota mtu ni ngumu
Hayo mambo yalikwepo humu miaka mingi sana iliyopita, huwez kupata wateja wote tumeiva humu ndaniMkuu humu ni mara chache ndio maana nina channel kujiunga siyo lazima .
Analeta ushamba huyu jamaa, atakuwa mgeni humuNikisoma hii comment nikijumlisha na matokeo ya jana, una kila HAKI ya kuandika hivyo mzee baba, anazingua huyo jamaa...!
Endelea kusema hivyo pole yako mkuu inawezekana kanji amekupuna sanaHayo mambo yalikwepo humu miaka mingi sana iliyopita, huwez kupata wateja wote tumeiva humu ndani
Code???Jiwe aina ya fatuma gizani pia leo
Vita na kanji hakuna mkamaria amewahi kushinda weweee red lazima itawale utake usitake ndio maana nakwambia hakuna mjinga humu. Huna jipyaEndelea kusema hivyo pole yako mkuu inawezekana kanji amekupuna sana
Hili ni treni mpaka jpiliCode???
Achaneni na UEFA sio lika lenu kwasasaMan United is not for the Beginners