Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

aisee kanji kanihujumu sema hawa Como nimeangalia mechi yao na Roma weekend iloisha na hii ya leo yani hamna kitu kabisa wachezaji wanacheza kama wamefungiwa mawe miguuni lakini inavosifiwa sasa 😂💔
Ile ligi ya Italy imepoa sana so kakijitokeza katimu flani kamechangamka kidogo wanakaona km ni ka-psg flani hv
 
coupon_88825024323_2238152.png
 
Kikosi Cha PSG ukikiangalia kwenye lineups ni kama Cha kawaida.
Ila ingia nacho uwanjani , moto wanaopeleka si wa kitoto.

Arsenal alishikilia bomba dakika ya 6 . Huyu Luis Enrique heshima kwake .
Mkuu huyu Psg sio wa kawaida, Barcelona tunamwona yuko vizuri lakin siku akiingia anga za Psg atapasuka vizuri.
 
mkuu Barcelona ni moto mwingine, timu yoyote kuifunga Barcelona lazima wawe pungufu na sio vinginevyo unless wewe ni shabiki wa Paris
 
Ukiangalia lineup unaona majina ya kawaida .
Ila ukiingia uwanjani ndio unajua hapa si mahala pake 😄.
PSG ina madogo janja wengi halafu wanaupigwa haswa!

Arsenal aliteseka sana final halafu pale kati ni majanja tu kina vitinha, neves na Ruiz lakini wakina Rice ulimi ndala .
 
mkuu Barcelona ni moto mwingine, timu yoyote kuifunga Barcelona lazima wawe pungufu na sio vinginevyo unless wewe ni shabiki wa Paris
Barcelona hamna timu pale mkuu, anakutana na vidagaa , huyu PSG ni moto mwingine.
Barca timu nyingi tu zinamfunga yule hafiki kokote hili jini PSG sijui Nan atalipiga stop.
 
kitu usichojua PSG ya msimu huu hata Fainali hagusi najua inakuuma lakini ndo ivo. narudia tena hamna timu ya Kuifunga Barcelona dakika 90 wakiwa wote 11 uwanjani, HAIPO.!!
 
Kwamba unaweka matumaini kua PSG atamchakaza barcelona ya sasa kama city
 
Back
Top Bottom