MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Barca hawakuzuii kufunga ila watahakikisha wanakufunga nyingiMkuu barca wako vizuri, lakini ww unaona kuna beki kweli pale kwa forward hii ya Psg
Barca hawakuzuii kufunga ila watahakikisha wanakufunga nyingiMkuu barca wako vizuri, lakini ww unaona kuna beki kweli pale kwa forward hii ya Psg
Barca hajakutana na timu ya maana,, ona mwenzie psg anavyomnywa man cityBarca hawakuzuii kufunga ila watahakikisha wanakufunga nyingi
mkuu mimi siwezani na mtu mbishi. ni kweli kabisa Barca hamna kituBarca hajakutana na timu ya maana,, ona mwenzie psg anavyomnywa man city
hao ndo wanasubiri kuifunga Barca mwezi huu. Mourinho mzee wa game kubwa 😄Madrid ni man u ya Spain 🇪🇸
Mourinho hamna kocha mule na mbinu zake za mwaka 2004Hawa madrid ya morihno hawa ni matapeli
Hapo hata mahakama haiwezi kufungaMwenye anataka kurudisha hasara zake, odds 100 hizi hapaView attachment 3690792
Kuna Haaland lakiniHapo hata mahakama haiwezi kufunga
Ngoja tukupe njumu mzee...! 😅Haya matapeli kama hilo goli moja linawashinda watoke niingie mimi.
View attachment 3690793