Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hawa sportybet mbona kama huwa wanabadili selection au ni kwangu tu? hii mechi ya como nilimwomba Feyenoord magoli mawili saiv nakuta kwenye mkeka Como ndo kawekewa magoli mawili na mara nyingi huwa wakinibadilishia zinatoa tena mapema tu😅
 
Wanakulazimisha uwapune kilazima 😅🤣😂
 
Wanangu kesho tukutane kwa wakala
 
Attachments

  • share_image_0_1792000935647.jpeg
    share_image_0_1792000935647.jpeg
    81.6 KB · Views: 9
Kuna watu usikute waliweka under hii mechi

Kibongo bongo hapa ni Liverpool inatumia sindano

hawa sportybet mbona kama huwa wanabadili selection au ni kwangu tu? hii mechi ya como nilimwomba Feyenoord magoli mawili saiv nakuta kwenye mkeka Como ndo kawekewa magoli mawili na mara nyingi huwa wakinibadilishia zinatoa tena mapema tu😅
Ikiisha hv watakuwa wamekupiga tobo ya kisigino
 
aisee kanji kanihujumu sema hawa Como nimeangalia mechi yao na Roma weekend iloisha na hii ya leo yani hamna kitu kabisa wachezaji wanacheza kama wamefungiwa mawe miguuni lakini inavosifiwa sasa 😂💔
 
nawapa code haya mashindano ya UEFA chance ya timu ya nyumbani kupata goli ni 95% kwa sababu ya back up ya mashabiki
 
Back
Top Bottom