Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jiwe gizani
Atletico Madrid dakika ya 1 tu chuma.
Bayern Munich dakika ya 2 tu chuma.
Napoli dakika 8 tu chuma ..
Na hapo ni timu tisa tu za Jana tatu zimechana..... Ngumu sana hii kuzuia goli dakika 10 mechi zaidi ya Tano tu ni mtihani. .. elewa dakika 10 kwa ujumla wake sio kwa mechi moja moja ..kwa ujumla wake ni kuzuia goli zaidi ya muda wa mechi ya kawaida ... Ngoja na Leo tuone ... Wekeni tena kuniprove wrong...usipunguze mechi 15 halafu tuendelee kupata somo....
 
View attachment 3689704

Palac nimekuwekea na hizi 1 - 5 min ila sio Draw nimeweka Under 0.5 coz ukiangalia Draw na Under 0.5 utaona Under 0.5 inazidi vi-points kadhaa hivi, nimeongeza na mechi 2 za Orlando Pyrates na Mamelodi, treni la leo na kesho. Kila la heri...!
Nakusalimia ndugu ...vipi huko Bayern na atletico.... Tena wewe umepunguza dakika 5... Hapo vipi
 
Kujaribu kukuza mitaji tu hakuna namna
 

Attachments

  • Screenshot_2026-10-14-06-02-40-038_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    Screenshot_2026-10-14-06-02-40-038_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    97.4 KB · Views: 14
Back
Top Bottom