Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Yeah then tusubili dk 90 ziongee mana mpira unadunda lolote linaweza kutokeaNgoja ninukuu hii code kwa ajili ya rejea.
Yeah then tusubili dk 90 ziongee mana mpira unadunda lolote linaweza kutokeaNgoja ninukuu hii code kwa ajili ya rejea.
Nimerud jana ujinini kuchukua vyuma nikaset mtambo akajaaKwa hii code yake ya leo sina shaka nae.....weka unachoweza kupoteza
Tupo pamoja 🙏🏽😂😂😂 Nakuelewaga, hauna baya bro....
Uwekezaji huu muhindi ana nafasi kubwa sana ya kushindaKutokana na ombi la watu kuomba niendelee kuleta utabiri wa mpira bas nimerud rasmi.View attachment 3689779
Sisi tunafanya tunacho amini na kukiweza,hatuangalii tamaa na tunakusanya kibunda Cha muhindi kama kawaida Sasa ww weka 500 Kwa timu 30 utegemee kupata million 50,utaiskia kwenye bombaUwekezaji huu muhindi ana nafasi kubwa sana ya kushinda
Daah kabisa aiseehawa juzi waliuza mechi live bila chenga
View attachment 3689713
Dj Zero huyo saa 7 mchana mpaka 4 na robo usiku. Team Over 0.5...!
😁🤗Unafika hadi huku.Uzi wa kusaka maokoto huu.
Ccm wamekata umeme imesha kuwa ngumu kusuka matreniKumekucha Mzee Baba...! Twende Vitani.
😂😂😂 nimetulia kwani.😁🤗Unafika hadi huku.
Tupe code ya leo tupate maokoto
Check tu DP zao zimekaa kikazi zaidi.Lwiva na JITU BANDIA wazee wa ngumu kumeza 😅🤣😂