Naona namba za simu hawana, njia rahisi ya kuwasiliana na bookie wanaotumia white label ya 1xbet ni live chat ingawa kwa shida kubwa watakwambia utume email tu, ndio shida ya bookie ambaye amesajiliwa nchi zenye masharti nafuu ya kodi kama Curacao au Cyprus.View attachment 3687352
Umewapuna sh ngapiAsante Chief ...
Nimewatumia email na reminders kadhaa, response ndio changamoto
πππmkuu samahani, kwan izo kampuni uchwara huwa mnatafuta nini?
Duuuh noma sana, wafatilie japo wanachelewaga ku respond, halafu sina uhakika kama wana kibali cha GBT
Warusi wenye leseni ya GBT niDuuuh noma sana, wafatilie japo wanachelewaga ku respond, halafu sina uhakika kama wana kibali cha GBT
Tupieni codes hizo , mkuu yule wa odds 2 kapotelea wap?
Aliyekomaa na aka make money kwa dortmund huyo bingwa haijalishi kastake shingapiDortmund ktk ubora wake
Odds 4 mpaka 5 mkuu . Tumkwepe Asmodeus πππππ
Tupo live wengi tunaangalia Tv
Haya sema unataka ODDS kambi mdau?
Ana mapenzi na Simba? Au 50,000 ana bet ili apate pesa?Wazee kuna mdau ana 50,000 anataka ampe simba anashida mazima, mnamshauri vipi,pesa inabidi atoe ya harusi.