Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

South kwa Nigeria hawezi chomoka, weka GG kua salama na pesa yako, hii ndo maana ya jukwaa hili, kupeana ushauri

Kweli mkuu, h2h 4 za karibuni sauzi kapigwa na Nigeria, ila nadhani ukizingatia nigeria alipoteza game ya kwanza haitokuwa kazi rahisi
 
Naomba msaada wadau wakat wa kujoin meridianbet ile promo code na postcode ni kitu gani na kama huna inakuwaje
 
Post code inaitajika wazee ila promo code kuna sehemu kama hutaki kuna tiki ya kuacha
 
Hizi takwimu zinaweza kutupa mwongozo kidogo.
 
Attachments

  • 1410339902564.jpg
    58.1 KB · Views: 110
  • 1410339929121.jpg
    60.1 KB · Views: 96
Kama kuna mtu anampunga mrefu aweke kwa Congo brazaville ni wazuri sana niliangalia game yao na nigeria wazuri mno lazima washinde tena kwa cape

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kama kuna mtu anampunga mrefu aweke kwa Congo brazaville ni wazuri sana niliangalia game yao na nigeria wazuri mno lazima washinde tena kwa cape

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Waliwafunga nigeria kwa sababu kulikuwa na mgogoro wa soka nigeria
 
Mpunga wa bure saa 7 mchana game ya hookey weka hata milioni

Ermark Angarsk v Ariada Akpars Volzhsk ----- Ermark Angarsk win odds 1.74 ipo kwenye live play
 
Mpunga wa bure saa 7 mchana game ya hookey weka hata milioni

Ermark Angarsk v Ariada Akpars Volzhsk ----- Ermark Angarsk win odds 1.74 ipo kwenye live play

Odds zinazidi kupanda ukichelewa wakafunga basi ni drastic fall ya odds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…