Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 3,775
- 10,094
Deposit crystal palace na Sunderland walichana mapema tu kisha jioni hii tu pale laliga fc malaga kapita na kibundaKu deposit au withdrawal
Hongera mkuu
Deposit crystal palace na Sunderland walichana mapema tu kisha jioni hii tu pale laliga fc malaga kapita na kibundaKu deposit au withdrawal
Hongera mkuu
Du hatimaye...!Ujaelewa somo ....nimeweka hiyo pesa kucheza MTINDO WA SADAKA.. HAPA NASUBIRI MALAKI YANGU BADO DAKIKA 20 TU
🔥🔥🔥Kanji kaanza kutapika damu huku hata kabla ya dakika ya 90 wameniingizia sh 190000 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥😇
Uliweka shngappi
500Uliweka shngappi
Hapo majuta huanza unajiuliza kwanini hukuweka ata elfu 50.....
😅😅😅Hapo majuta huanza unajiuliza kwanini hukuweka ata elfu 50.....
Sio kwamba kwa sababu ya bet builderHivi hii sportbet wameondoa kabisa cash out...mbona mikeka ninayo chezaga mimi hata ikibaki dakika kumi hakuna cashi out
Hapo majuta huanza unajiuliza kwanini hukuweka ata elfu 50.....
Haya yamenipita sijui nilikuwa wapMatreni yote matatu yametiki
Saaafii kamanda umepiga ya kichwa Hadi komwe la kanji limerud nyumaMatreni yote matatu yametiki
Hongera njoo nikuonyeshe lounge yenye mademu wakaliMatreni yote matatu yametiki
LabdaSio kwamba kwa sababu ya bet builder
Mkuu iyo avatar yako inachekesha sana iweke apa no downloadJana nimepona ila leo aaah sijapona elnino imenipitia
Tiketi ilikua na No GG na Yes GG😀Elf 30 ungekuwa na laki 7 mzee...!