ELIMU ....Kwa wale mliocheza hili treni, nililo post kuna kitu hapa... tusije tukatoka mikono mitupu ...mechi 30 zimesha tiki zimebaki mechi 4 tu ...ukitazama hapo pichani mechi 3 zitaanza kabla ya ile ya mwisho ..na ukitazama hiyo mechi ya mwisho nimeipa home win ya handicap 3-0..dhidi ya arsenal ..sasa tunacho takiwa ni wewe uliye cheza hii code kuangalia ulicheza kwa dau kiasi gani ..mfano mimi nilicheza kwa dau la sh 2000 ...zidisha dau ulilo cheza mara 10 mfano mimi hapo nikizidisha nitapata sh 20000 hii pesa akikisha umeweka kwenye simu yako STANDBY kabla ya hiyo mechi kuanza...... Sasa unacho takiwa ni kusubiri kama hizo mechi 3 za kwanza zitatiki na kubaki hiyo moja ya mwisho ambayo option niliyo cheza ni home win handicap 3‐0 .....chukua hiyo hela ipasue nusu kisha cheza mechi hiyo hiyo kwa kuipa away win (arsenal) win na home handicap ya 2-0 hapo odds ni zaidi ya 5 hivyo kama mimi hapo nitatia sh 10000 kati ya hiyo 20000 hivyo nitakuwa na uhakika wa kula sh 50,000 ..hapa tunaona ninayo sh elfu 10000 nyingine sijacheza ..hii nitacheza kwa kutegea mfano kama dakika zikienda na awajafungana si hizo odds kwenye hiyo option zitakuwa juu zaidi hata kufika odds 8 au 10 hivyo naweza kutia elfu 5 au elfu 10 iliyo baki yote ....maana yake hata kama treni likichanika nilazima nitakula zaidi ya sh 50,000 au sh 100,000.