Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Match fixing za kutosha...Nimefanya research kwa zaidi ya miaka 4 kuangalia options ambazo zinaweza kuwin consistently sijazipata...mbinu zote za kihesabu kama poison distribution,logistic regression,black scholes analogs model zote zimefeli.

Bookies wanafurahi sana kwasababu odds zao zinapangwa kuwanufaisha wao,wanahakikisha wana high mathematical edges.

Betting ni unfair game..ni sawa na bondia wa heavyweight apigane na bondia wa light weight
Swali linakuja kwanini tunashindwa kumfuata Venezia ana odds nyingi na tunamfuata Napoli? Tena Bila uoga.

Siku ukitaka kufuata winning teams akili inakua nzito haswa na mwisho unaacha baadae matokeo yanatoka vizuri.
Ila siku ukiweka pesa na kuna muda akili inagoma ila unakuta ushamtia Napoli .
Team uliyoiacha ukaikataa inashinda na uliyoichukua inayochoma vice versa
 
unabeti kihisia kuangalia majina ya timu n nafasi zao katika msimamo ila huangalii strength ya timu ikiwa nyumbani na true mathematical edges uliyonayo dhidi ya odds za bookie. Data driven betting ndio angalau inaweza kukupa advantage dhidi ya booke, nje ya hapo huwa ni hasara
 
Leo kanji amepata sana
Matreni matatu niliyo post hapa jf yana kwenda kumtoa damu kanji moja bado mechi moja tu ...kanji ajaweka hatavcash out inaelekea CODE niliyo tuma imechezwa nq watu wengi
 
Attachments

  • Screenshot_20261018-001942_SportyBet.jpg
    Screenshot_20261018-001942_SportyBet.jpg
    107.1 KB · Views: 7
  • Screenshot_20261018-001802_SportyBet.jpg
    Screenshot_20261018-001802_SportyBet.jpg
    74.2 KB · Views: 5
  • Screenshot_20261018-001747_SportyBet.jpg
    Screenshot_20261018-001747_SportyBet.jpg
    100.7 KB · Views: 6
unabeti kihisia kuangalia majina ya timu n nafasi zao katika msimamo ila huangalii strength ya timu ikiwa nyumbani na true mathematical edges uliyonayo dhidi ya odds za bookie. Data driven betting ndio angalau inaweza kukupa advantage dhidi ya booke, nje ya hapo huwa ni hasara
Wewe usiyebeti kihisia... Kwanza ncheke... Ni mwehu ... Kila market (chaguo) ni hisia...ubashiri, taraji,enendo hitaji lako, Mungu huyohuyo unaye kuomba under 2.5 wengine wanamuomba over .. msituchoshe...
 
odds ni hesabu zile...mfumo uliosukwa kwa hali ya juu...ili ku bypass lazima uwe sharp bettor uangalie loopholes zinazotokana na miscalculations za bookies katika odds zake.
Naomba uwe huyo Sharp 🪒 better...unayeleta upuuzi kwa wapuuzi... Sio lazima utuonyeshe ujinga wako kwa lazima hivi...
 
Yaani kazi kweli kweli
 
Attachments

  • Screenshot_20261017-220613.jpg
    Screenshot_20261017-220613.jpg
    124.8 KB · Views: 6
Matreni matatu niliyo post hapa jf yana kwenda kumtoa damu kanji moja bado mechi moja tu ...kanji ajaweka hatavcash out inaelekea CODE niliyo tuma imechezwa nq watu wengi
Wala hujakosea mkuu hata mimi huu mkeka nilichukua code,lakini mwanzo mwanzo ulichanika mara mbili na kauribet na hapa kama unavyosema bado timu hata huku kwangu
 
ELIMU ....Kwa wale mliocheza hili treni, nililo post kuna kitu hapa... tusije tukatoka mikono mitupu ...mechi 30 zimesha tiki zimebaki mechi 4 tu ...ukitazama hapo pichani mechi 3 zitaanza kabla ya ile ya mwisho ..na ukitazama hiyo mechi ya mwisho nimeipa home win ya handicap 3-0..dhidi ya arsenal ..sasa tunacho takiwa ni wewe uliye cheza hii code kuangalia ulicheza kwa dau kiasi gani ..mfano mimi nilicheza kwa dau la sh 2000 ...zidisha dau ulilo cheza mara 10 mfano mimi hapo nikizidisha nitapata sh 20000 hii pesa akikisha umeweka kwenye simu yako STANDBY kabla ya hiyo mechi kuanza...... Sasa unacho takiwa ni kusubiri kama hizo mechi 3 za kwanza zitatiki na kubaki hiyo moja ya mwisho ambayo option niliyo cheza ni home win handicap 3‐0 .....chukua hiyo hela ipasue nusu kisha cheza mechi hiyo hiyo kwa kuipa away win (arsenal) win na home handicap ya 2-0 hapo odds ni zaidi ya 5 hivyo kama mimi hapo nitatia sh 10000 kati ya hiyo 20000 hivyo nitakuwa na uhakika wa kula sh 50,000 ..hapa tunaona ninayo sh elfu 10000 nyingine sijacheza ..hii nitacheza kwa kutegea mfano kama dakika zikienda na awajafungana si hizo odds kwenye hiyo option zitakuwa juu zaidi hata kufika odds 8 au 10 hivyo naweza kutia elfu 5 au elfu 10 iliyo baki yote ....maana yake hata kama treni likichanika nilazima nitakula zaidi ya sh 50,000 au sh 100,000.
 
Attachments

  • Screenshot_20261018-080023_SportyBet.jpg
    Screenshot_20261018-080023_SportyBet.jpg
    120.1 KB · Views: 5
Hii siyo rebet..nikweli usemavyo niliyo post mwanzo ilichanika ila HAYA NI EDIT NILIPOST CODE ZIPO HAPA JUKWAANI ..HAYA MATRENI YOTE MATATU NI EDIT NILIYO POST SIYO REBET
Wala hujakosea mkuu hata mimi huu mkeka nilichukua code,lakini mwanzo mwanzo ulichanika mara mbili na kauribet na hapa kama unavyosema bado timu hata huku kwangu
 
Back
Top Bottom