Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Match fixing za kutosha...Nimefanya research kwa zaidi ya miaka 4 kuangalia options ambazo zinaweza kuwin consistently sijazipata...mbinu zote za kihesabu kama poison distribution,logistic regression,black scholes analogs model zote zimefeli.

Bookies wanafurahi sana kwasababu odds zao zinapangwa kuwanufaisha wao,wanahakikisha wana high mathematical edges.

Betting ni unfair game..ni sawa na bondia wa heavyweight apigane na bondia wa light weight
 
Screenshot_20261017-233951.jpg


Saa 6 kamili mpaka 1 asubuhi.
 
huwezi kula....results are not random, they are predetermined by Betting Mafia Cartels
Mimi naamini nguvu ya ziada inatumika zaidi demonic power za Asmodeus and mammon.
Hata wachezaji wenyewe hawaamini muda mwingine yanayotokea uwanjani , mtu yupo na goli Bila Kipa na Bado anapiga nje.
 
MATRENI MATATU NILIYO YAPOST MOJA LIMEBAKI MECHI 1 TU KESHO NA MENGINE KAMA MECHI 4 HIVI TUMPIGE KANJI ....HII MECHI YA LILLE ILINIFANYA NIWEKE SIMU PEMBENI MAANA NUSU ICHANE MATRENI YOTE MATATU AMBAYO NDIYO YAPO UKINGONI KUWIN hii mechi ilikuwa ni pasua moyo angalia ball position ila home alikuwa kapigwa goli
 

Attachments

  • Screenshot_20261017-230320_SportyBet.jpg
    Screenshot_20261017-230320_SportyBet.jpg
    127.4 KB · Views: 7
Back
Top Bottom