kwann mzee, mechi ya simba tayari ishatoa nilimwomba peke yake goli 3Aaaaah mzee hapa umenichezesha mzee baba...! 😃
Nilitia elf 10 stake lakini payout haijafika hata Milioni mzee baba. 😃kwann mzee, mechi ya simba tayari ishatoa nilimwomba peke yake goli 3
akaunti 2 kwenye kampuni 1 au hata kampuni tofautihakuna masharti yoyote maana nasikia kama una akaunti zaidi ya moja hupati kibunda?
namba tofauti na uliyoshindiaakaunti 2 kwenye kampuni 1 au hata kampuni tofauti
Tumia lipa billMbona sport bet naweka ela Voda inagoma?
Watu wameweka yanga und 4.5Game ya lille na Galatasaray niliweka under 5.5 mpaka sasa nikiangalia ubao siamini wakuu mwili joto
aseee watu mnajua kujilipuaGame ya lille na Galatasaray niliweka under 5.5 mpaka sasa nikiangalia ubao siamini wakuu mwili joto
kwenye ubetiji wako ogopa sana option ya Over 1.5, Double Chance na Option ya Under, Ogopa sana izo option. unaweza weka mkeka wa timu 50 zikatiki 49 moja ikachana kwa option kati ya izo apo juuGame ya lille na Galatasaray niliweka under 5.5 mpaka sasa nikiangalia ubao siamini wakuu mwili joto
Zote ulizotaja ni sababu tosha ya mikeka kuchanika ila hii option ya under ni low risk sana kwa game zinazodhaniwa kua ngumukwenye ubetiji wako ogopa sana option ya Over 1.5, Double Chance na Option ya Under, Ogopa sana izo option. unaweza weka mkeka wa timu 50 zikatiki 49 moja ikachana kwa option kati ya izo apo juu