Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
Simba over 1.5
Yanga over 1.5
Weka nyumba ya urithi
Yanga over 1.5
Weka nyumba ya urithi
Unaitazama game ya simba lakini hizo 2 utavaa njumuSimba over 1.5
Yanga over 1.5
Weka nyumba ya urithi
Naona wanapaiza tuu 😀😀, ila magoli yapoUnaitazama game ya simba lakini hizo 2 utavaa njumu
Kamari ni mchezo hatari ila pesa unapewa vyema tuhivi huu mkeka ikitokea ukatiki ntapewa hizi pesa au nitapigwa chenga ya macho? maana uwezekano wa kutiki ni mkubwa sana View attachment 3695452
wacha tuoneKamari ni mchezo hatari ila pesa unapewa vyema tu
hivi huu mkeka ikitokea ukatiki ntapewa hizi pesa au nitapigwa chenga ya macho? maana uwezekano wa kutiki ni mkubwa sana View attachment 3695452
Naskia wanaweka 5m kila siku sio kwa mkupuo sijui kama ni kweli au la, ila niliwahi kuskia hiyo kitu mzee baba.hivi huu mkeka ikitokea ukatiki ntapewa hizi pesa au nitapigwa chenga ya macho? maana uwezekano wa kutiki ni mkubwa sana View attachment 3695452
tukituma code humu mkeka ukichana madogo wanakuja juu kinoma tunavunjiana heshima aisee inakua sio poaNaskia wanaweka 5m kila siku sio kwa mkupuo sijui kama ni kweli au la, ila niliwahi kuskia hiyo kitu mzee baba.
Wee tuma tu hakuna aliyelazimishwa kufata mikeka ya watu, asuke wake ili ukichana asilalamike basi. Tuma code mzee...!tukituma code humu mkeka ukichana madogo wanakuja juu kinoma tunavunjiana heshima aisee
Naskia wanaweka 5m kila siku sio kwa mkupuo sijui kama ni kweli au la, ila niliwahi kuskia hiyo kitu mzee baba.
Oooh okay kama ni hivyo hamna mbaya.Pesa ni yote,ila kutoa NDIO utatoa million 5 kwa transaction
Ila watakutaarifu Ili mfumo wa Bank transfer ufanyike
Maana hata wewe huwezi kuacha pesa yote kwenye mtandao wao kirahisi🤣🤣🤣🤣
hakuna masharti yoyote maana nasikia kama una akaunti zaidi ya moja hupati kibunda?Pesa ni yote,ila kutoa NDIO utatoa million 5 kwa transaction
Ila watakutaarifu Ili mfumo wa Bank transfer ufanyike
Maana hata wewe huwezi kuacha pesa yote kwenye mtandao wao kirahisi🤣🤣🤣🤣
Niache Nteseke5K867N | SportyBet
stake what you can afford to lose 🔞
Aaaaah mzee hapa umenichezesha mzee baba...! 😃