Kuna msenge wa kuitwa chesterfield v Colchester.. kipindi ya kwanza kaenda na Kona 5-0 ..Cha pili wameenda 2-2 mkeka Chali.. kaninyima hela ya supu na kasichana.Inatoa sana kwa sababu kuna idadi sawa ya corner kicks ni very rare
Mkuu unakumbuka tulivyokua tunamwelekeza last week!Mkuu vipi Bado misimamo ni ule ule??
endelea kuupdate akaunti mkuuWawekezaji wenzangu hii kampuni siielewi, ni kwamba nimepigwa au?🙄🙄🙄 nikitaka kuwithdraw wanasema i have to update my account,...mtu yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili msaada tafadhali. View attachment 3695003
Inter na Shaktar hawa wote vichwa vibovu rafu kama zote na wote matokeo ya mwanzo mabov hasa Inter at least Shakhtar ana points 4 ila Inter mweupeeeGame ya inter ni game ya uhitaji sana pia game ya sporting cp ni game ya uhitaji zaidi cheza option tofauti
Game ya Inter weka GG and 2+ kisha relaxInter na Shaktar hawa wote vichwa vibovu rafu kama zote na wote matokeo ya mwanzo mabov hasa Inter at least Shakhtar ana points 4 ila Inter mweupeee
Hapo ni mwendo wa Corners kwa Inter na overall Mechi itakuwa ya nguvu sana kuliko akili IPE bookings,cards za kutosha
Sporting na Lask hapa magoli 3,maana wote ni attacking Minded teams,hawana kupaki basi
Watu wameonya sana humu kutumia kampuni za uchochoroni ni watu ni wabishi sana!Wawekezaji wenzangu hii kampuni siielewi, ni kwamba nimepigwa au?🙄🙄🙄 nikitaka kuwithdraw wanasema i have to update my account,...mtu yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili msaada tafadhali. View attachment 3695003
Na hapo kwenye ku-update utaambiwa udeposit kiasi fulani kwa kuwa mkwanja wako unautaka utawapa tu hela unapigwa zaidi!Wawekezaji wenzangu hii kampuni siielewi, ni kwamba nimepigwa au?🙄🙄🙄 nikitaka kuwithdraw wanasema i have to update my account,...mtu yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili msaada tafadhali. View attachment 3695003