Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,815
- 3,821
View attachment 3694503
Hizi Odds 2 vipi wadau zinatoa au matapeli...?
Kanji amechanganyikiwa Wazee.
View attachment 3694503
Hizi Odds 2 vipi wadau zinatoa au matapeli...?
Porto nae haendi kokote leoTypo kashaondoka na hela ndefu , hii betting demonic control daah . Ngoja tusuke mwingine tu hapa maana nilikua nimsubiri Porto tu
Unatakiwa kushinda 423k cashout inasoma 431k?
Piga uyo
Mngese sana... Sikia la kufa halisikii dawa, nimemfuata yeye na PSG halafu kazingua tena yeye daahHuyo Porto yuko nyumbani lakini anapelekewa moto balaa
Amechana mikeka mingi sana.Huyo Porto yuko nyumbani lakini anapelekewa moto balaa
Kanji kachanganyikiwa Mzee. 😅Unatakiwa kushinda 423k cashout inasoma 431k?
Ameshatupiga sana Mngese huyu.Piga uyo
Jaribu kucashout uone itakavipungua mpka hutoamini mkuu!!! Hivyo ni vishawishi tuUnatakiwa kushinda 423k cashout inasoma 431k?
Umeona, sijui kama unakumbukamkuu Barcelona ni moto mwingine, timu yoyote kuifunga Barcelona lazima wawe pungufu na sio vinginevyo unless wewe ni shabiki wa Paris
Mkuu vipi Bado misimamo ni ule ule??kitu usichojua PSG ya msimu huu hata Fainali hagusi najua inakuuma lakini ndo ivo. narudia tena hamna timu ya Kuifunga Barcelona dakika 90 wakiwa wote 11 uwanjani, HAIPO.!!
3 ODDS
HAYA BOROUGH ASHAMALIZA YAKEPETERBOROUGH
OV 2.5
WEKA MZIGO WA MAANA
1.50 ODDS
AlldbestPETERBOROUGH
OV 2.5
WEKA MZIGO WA MAANA
1.50 ODDS