Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Kucheza wakati mmoja ni suala jingine ..Suala ni Matukio (Events) under successful events haiangaliwi utofauti wa muda wa kucheza .. sababu zinaenda kwa mfuatano ambao sio additional wa moja mbili (arithmetic sequence) hii unaenda progressive kwa mzidisho ..oyaa .. ndio maana Kila unapoongeza timu sio wajinga wanakuongeza asilimia za bonuses... Hii ni Logarithmic coding hatari sanaaaaaa kakaa... Tucheze tu... . Tuliosoma haya mambo tunacheza kwa sababu ni michezo halisi ila wale wanacheza virtual/vindege ...naonaga ndio hawana akili kuliko sisi .. angalau sisi.Hizi ni kwamba hazichezi kwa wakati mmoja japo ni risk
MNISAMEHE ANDIKO REFU
MLISOME TU.
N.B BET WHAT YOU CAN AFFORD TO LOOSE.