Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,815
- 3,821
Tuko pamoja mkuu.🤣🤣🤣🤣🤣
Pamoja mdau
Tuko pamoja mkuu.🤣🤣🤣🤣🤣
Pamoja mdau
View attachment 3694503
Hizi Odds 2 vipi wadau zinatoa au matapeli...?
Fenerbahce ashakanyaga waya tayariView attachment 3694239
56527W.... Wale wa no goal 1-5 mins ...keka hilo hapo ....odds 720.
Umemuona Pyramids mzee.Mlinde Pyramids . DC.
alafu weka mke.
Mukide
Inatoa sana kwa sababu kuna idadi sawa ya corner kicks ni very rareView attachment 3694467View attachment 3694469
Kula chumaaaaaaaaaaa..... Unaweza kuamua wewe .... Uchanganye zingine Cha kwanza zingine Cha pili... Ila hii option inatoa sana kwa mechi zenye odds ya 1.7 kushuka chini sababu mmoja anakuwa na uwezo sana wa kushambulia kuliko mwenzake. Nimewapa chaka lingine linalonipaga hela ndogondogo za odss 1.5 hapa mechi 4-5 unapata odds 1.5 wale wa Roll-over hii inawafaa
Yani unaongea haya baada ya matokeo! Kabla ya matokeo ulikuwa wapo?Ukiwa mchawi unyama sana.. hizi game mbili za champions league unatia zako GG first half unaendelea na shughuli zako
Mkuu nasema endapo ukiwa mchawi uraweka hivyo! Kwani nani amekwambia ameweka hivyo?Yani unaongea haya baada ya matokeo! Kabla ya matokeo ulikuwa wapo?
Hapa umeneno ila bado mechi za saa 4Kwenye mikeka yenu wekeni magoli.. Leo kuna vyuma haijawahi kutokea.
Fenerbahce kashaondoka na kilo goal dakika za jioni *****Fenerbahce ashakanyaga waya tayari
Typo kashaondoka na hela ndefu , hii betting demonic control daah . Ngoja tusuke mwingine tu hapa maana nilikua nimsubiri Porto tuHaya wale wa fenerbahce mpoo