DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Nikiichek DP + username yako naishiwa nguvu za ku-copy mkeka wako 😅🤣😂View attachment 3694239
56527W.... Wale wa no goal 1-5 mins ...keka hilo hapo ....odds 720.
Nikiichek DP + username yako naishiwa nguvu za ku-copy mkeka wako 😅🤣😂View attachment 3694239
56527W.... Wale wa no goal 1-5 mins ...keka hilo hapo ....odds 720.
Hizi game zote zinatoa amini kwambaView attachment 3694239
56527W.... Wale wa no goal 1-5 mins ...keka hilo hapo ....odds 720.
Limechukuliwa tayari ilo bwasheeeeView attachment 3694239
56527W.... Wale wa no goal 1-5 mins ...keka hilo hapo ....odds 720.
Magoli yapo ya kutosha tu leo , game ya barca, porto, fenerbahce, roma, city na Dortmund.Kila nikiangalia soko la leo wajomba mjipange naona option itayotutoa leo ni mwendo wa kona pekeee
Ushindi wa moja kwa moja ni risk magoli ni risk pia
Hii option ni nzuri sana hspo ukicheza na flex 1View attachment 3694239
56527W.... Wale wa no goal 1-5 mins ...keka hilo hapo ....odds 720.
Ukiweka buku una 700kHii option ni nzuri sana hspo ukicheza na flex 1
Nzi akiachwa ujinga anauwezo wa kutengeneza asali....😁😁😁Nikiichek DP + username yako naishiwa nguvu za ku-copy mkeka wako 😅🤣😂
Mi haya natengenezaga sana ..shida ni Ileile mantiki ya dakika 5 kwa mechi 48... Ni sawa dakika 240 .. ambazo ni sawa na kusema mechi 2 na dakika 60 uombe zisiwe na goli ..hiyo ndio mantiki ngumu kumeza.Hizi game zote zinatoa amini kwamba
Juzi kati hapa nilituma mkeka wa double chance yellow cards second half mechi 50 zikagoma 3. Ngoja nilisokote nalileta.Limechukuliwa tayari ilo bwasheeee
Hizi ni kwamba hazichezi kwa wakati mmoja japo ni riskMi haya natengenezaga sana ..shida ni Ileile mantiki ya dakika 5 kwa mechi 48... Ni sawa dakika 240 .. ambazo ni sawa na kusema mechi 2 na dakika 60 uombe zisiwe na goli ..hiyo ndio mantiki ngumu kumeza.