Kwa ligi za huku mchangani hata mchezaji au refa afanye udanganyifu haina athari kubwa kwa sababu bookie washalijua hilo ndio maana
1. Wanalimit kwenye stake ili usiwaumize pakubwa ukipata mwanya wa udanganyifu,
2. Option ambazo mchezaji mmoja au mtu mmoja anaweza kufanya ujanja na kula hela hawaweki kabisa wanajua waafrica hatuna uadilifu, kuuza utu wako kwenye swala la hela hatuoni kazi kabisa.
Mfano hizi option chache tu hutakaa uzione kwenye ligi ndogo kama zetu kwa sababu kufanya udanganyifu kwa mtu mmoja mmoja ni rahisi sana.
1. official added time (watu wawili wanaweza kubadilisha upepo na kula hela)
2. Goal keeper to touch the ball dakika 1 ya kwanza- kufanya udanganyifu ni rahisi sana mnakubaliana hata timu zote kwamba atakayepata mpira tu arudishe kwa kipa mle hela wote dakika ya 1 tu.
3. Medical team to enter the pich 1H au 2H-hapo ukiguswa mguu kidogo tu unalala chini mpka kitanda kiingie
4. first sub itokee 1H- hii refa peke yake au mchezaji peke yake anaweza kubadilisha upepo na kula hela