Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

BW7BE23E29

2.7 ODDS...

LET'S GO 🥳🥳🔥🔥
Betway
All d best
 
Milo mbona imeanza mapemaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kwao wakati wa kuweka si tuliapa kwamba maweka huu mkeka nikiwa na Akili zangu timamu na uaminifu uliotukuka🤣🤣🤣
 
WALE WA MAN UTD OV 2.5 FT
COMO ANA 1 TAYARI

WALE WA LILE OV 2.5
TAYARI 1-1 DJ YA 30
 
all d best
 

Attachments

  • 1792605184139.jpg
    30.8 KB · Views: 3
  • 1792605177390.jpg
    28 KB · Views: 3
Game ya lille na Galatasaray niliweka under 5.5 mpaka sasa nikiangalia ubao siamini wakuu mwili joto
kwenye ubetiji wako ogopa sana option ya Over 1.5, Double Chance na Option ya Under, Ogopa sana izo option. unaweza weka mkeka wa timu 50 zikatiki 49 moja ikachana kwa option kati ya izo apo juu
 
kwenye ubetiji wako ogopa sana option ya Over 1.5, Double Chance na Option ya Under, Ogopa sana izo option. unaweza weka mkeka wa timu 50 zikatiki 49 moja ikachana kwa option kati ya izo apo juu
Zote ulizotaja ni sababu tosha ya mikeka kuchanika ila hii option ya under ni low risk sana kwa game zinazodhaniwa kua ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…