Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii option umebeti lkn hujui maana yake, ukiangalia kwenye hizo points kila set utaona kuna set mbili zinafanana points, 40 kila moja maana yake 1.5 over na sio under kama ulivyoweka
Shukrani mkuu! Mimi nilijua hii option ni timu kulingana points! Yaani quarter kuisha kwa sare! Kumbe wanachukua jumla ya points!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…