Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nataka nirudi tena kwenye hii biashara kwa strategy moja ya kijanja.

Plan yangu:

Mtaji 200k
Odds kwa siku 1.24 mpaka 1.30

Faida kwa siku 40k mpaka 50k

Sitaendekeza tamaa ya kumpiga Khanji pesa nyingi kwa siku moja..
Nitawapa mrejesho baada ya wiki moja.
 
Weka vizuri business Plan yako mkuu tunaweza kufaidika na mkakati wako mana kanji anatubonda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…