Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,815
- 3,821
Nataka nirudi tena kwenye hii biashara kwa strategy moja ya kijanja.
Plan yangu:
Mtaji 200k
Odds kwa siku 1.24 mpaka 1.30
Faida kwa siku 40k mpaka 50k
Sitaendekeza tamaa ya kumpiga Khanji pesa nyingi kwa siku moja..
Nitawapa mrejesho baada ya wiki moja.
ivi wameingia na vikosi full au vikosi vya pili maana hadi kina ausburg espaniol hakieleweki nanachokifanya nashindwa kuelewaLeipzig kala umeme na kabondwa ... Huku wa lazio wazee wa under 4.5 inabidi msiachie kabisa hizo mazaga...
Za siku mzee wa odds mbili za uhakika naona ulitukimbia wafuasi wako bila kutuaga.....ila kanji mmmh.Kwenye makaratasi ni very easy
Sasa ngoja fulham ampige 3 man city ndio utaanza kuelewa
Yani 10/= ule milioni 100...........wewe jamaa kua serious basi.
Bonyeza hicho kiboksi Cha zawadi itatokea tickWakuu hapa shida nini mbona inagoma?
Za siku mzee wa odds mbili za uhakika naona ulitukimbia wafuasi wako bila kutuaga.....ila kanji mmmh.
Matackle Yao, wamerotate kikosi hawajui wanaleta mambo ya kindezi kabsaAl hilal 🔥🔥