Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

LEO NATAKA KULA HII PESA adriz Jagina dua zenu kutoka kwa majini na jini jibril

Wagalatia 6:7 inasema: “Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa chochote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.”

Kushinda kamari si uthibitisho kwamba Mungu yuko upande wako.

1 Timotheo 6:10 inatuonya kuhusu upendo wa fedha. Nilipokushauri, sikutaka ushindwe, bali ufikirie kiroho na ujilinde na tamaa ya mali.

Mkristo wa kweli hujibu hoja kwa Neno la Mungu, si kwa dhihaka.

Mungu akujalie hekima ya kulitafakari Neno lake.
 
Screenshot_20261028-133745.jpg

1st Half Over 0.5. Saa 10 mpaka 5 Usiku
 
Wagalatia 6:7 inasema: “Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa chochote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.”

Kushinda kamari si uthibitisho kwamba Mungu yuko upande wako.

1 Timotheo 6:10 inatuonya kuhusu upendo wa fedha. Nilipokushauri, sikutaka ushindwe, bali ufikirie kiroho na ujilinde na tamaa ya mali.

Mkristo wa kweli hujibu hoja kwa Neno la Mungu, si kwa dhihaka.

Mungu akujalie hekima ya kulitafakari Neno lake.
Muhammad ana shetani?
 
ALLDBEST
WIN TIPS
 
Attachments

  • 1793190647696.jpg
    1793190647696.jpg
    38.9 KB · Views: 5
Back
Top Bottom