WanabebwaMnaoangalia game ya simba vp huko
Mnaoangalia game ya simba vp huko
Anaongoza 2-1 tayari, mimi nilimwomba ashinde 1H tumbo lilishakuwa joto hapa naomba tu atoboe dakika zilizobaki. Al Nassr mthenge tu. Timu gani kubwa inaruhusu goli 2 1H.Al nassr anafanya yake huko tayari
Huku tupo kwenye betting sio ushabiki.Wanabebwa
2-2 first halfAnaongoza 2-1 tayari, mimi nilimwomba ashinde 1H tumbo lilishakuwa joto hapa naomba tu atoboe dakika zilizobaki. Al Nassr mthenge tu. Timu gani kubwa inaruhusu goli 2 1H.
Ndivyo unavyofanya dau unaweka ngapiKubet mkeka wa game kumi handicap kwa jero ili ule laki 5 ni ujinga na utaliwa daily. Bet ushindi wa kawaida kwa timu tatu za uhakika, weka hela ya ukweli. Utakula siku zote...
Tuma code mkuu za leoSasa hivi kugusa live tu kitu adriz