Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Oy hii nimekula sasa hivi 💥
 

Attachments

  • Screenshot_20261031-093346_SportyBet.jpg
    Screenshot_20261031-093346_SportyBet.jpg
    133.1 KB · Views: 2
Saturday Picks ⚽ 🔥

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Man City vs Brighton
✅At Least One Team Will Score Over 1.5

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Brentford vs NNottingham
✅BBrentford Over 0.5

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Chelsea vs Man Utd
✅ Over 1.5 Goals

🇪🇪 Nomme Utd vs Levadia
✅ Over 1.5

🇧🇦 Zeljeznicar vs Zrinjsk
✅2x

🇧🇦Celik Zenica vs Borac Banja Luka
✅ 2x

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Tottenham vs Crystal Palace
✅ Over 1.5

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Aston Villa vs Fulham
✅ Aston Villa Over 0.5 Goals

🇬🇷 Kifisias vs Olympiacos
✅Olympiacos over 0.5

🇪🇸 Levante vs Atletico Madrid
✅ Atletico Madrid X2

🇪🇸 Real Betis vs Malaga
✅ Real Betis win Either Half

🇪🇸 Barcelona vs Deportivo Alaves
✅ Barcelona Over 1.5


🇩🇪 Bayer Leverkusen vs VfB Stuttgart
✅ Over 1.5 Goals


🇩🇪 Schalke 04 vs RB Leipzig
✅ 2x

🇩🇪 Werder Bremen vs Hoffenheim
✅ At Least One Team Will Score Over 1.5

🇩🇪 Bayern Munich vs Borussia Dortmund
✅Bayern Munich Over 1.5

🇮🇹 Udinese vs AS Roma
✅ AS Roma X2

🇮🇹 AC Milan vs Inter
✅ Under 4.5

🇳🇱 Feyenoord vs Fortuna Sittard
✅ Feyenoord win

🇳🇱 PSV Eindhoven vs Willem II
✅ PSV Eindhoven Ove 1.5

🇳🇱 Ajax vs AZ Alkmaar
✅ Over 1.5 Goals

🇹🇷 Fenerbahçe vs Goztepe
✅ Fenerbahçe win Either Half

🇵🇹 FC Porto vs Estoril
✅ FC Porto win

🇸🇦 Al Hilal vs Al Fateh
✅ Al Hilal Ove 1.5

🇧🇪 KV Mechelen vs Genk
✅ Over 1.5

🇧🇪 SK Beveren vs Union St.Gilloise
✅ Over 1.5

🇪🇸 Eibar vs Almeria
✅ 2x

🇩🇪 Kaiserslautern vs Hertha Berlin
✅ Hertha Berlin Over 0.5

🇨🇿 Jablonec vs Slavia Prague
✅ 2x

🇷🇺 Dynamo Moscow vs Akhmat Grozny
✅ Dynamo Moscow over 0.5

Bet On Betjam

Code Ya Mkeka👉 38ZFE

📌Jisajili Betjam Hapa👇

https://bjam.to/bet255

https://bjam.to/bet255

📌Promo Code👉: BET255

🎯 Pata Bonus Ya Mpaka 300k Ukijisajili Betjam Kwa Kutumia Promo Code👉 BET255

Application Download 👇👇
https://bjam.to/bet255apk
1000701972.jpg
 
Vazi la yesu lilibetiwa na Roho Mtakatifu wa kanisa lako?
Kasome Zaburi 22:18.... Baada askari baada ya kigawana mavazi yake ilibaki kanzu ili wasiirarue "WAKAIPIGIA KURA ILI APATE MMOJA WAO KATI YA WALE ASKARI WANNE"... Sasa endelea na hao machungaji Yako ananunua Mafuta ya MPISHI mnauziwa anafuata udongo ubungo kajima anakuja kuwauzia na unajiona una akili. Tunazijua dini kuliko unavyofikiria mbulula wewe.
 
Code hiyo hapo bashiri kistarabu,mimi huwa napenda ubashiri wa mechi chache lakini ni GG/BTTS hapo nimezingatia hatari zote kazi kwenu wadau wa soka
 

Attachments

  • IMG_6313.jpeg
    IMG_6313.jpeg
    225.3 KB · Views: 5
Kasome Zaburi 22:18.... Baada askari baada ya kigawana mavazi yake ilibaki kanzu ili wasiirarue "WAKAIPIGIA KURA ILI APATE MMOJA WAO KATI YA WALE ASKARI WANNE"... Sasa endelea na hao machungaji Yako ananunua Mafuta ya MPISHI mnauziwa anafuata udongo ubungo kajima anakuja kuwauzia na unajiona una akili. Tunazijua dini kuliko unavyofikiria mbulula wewe.
Ana hoja na swali zuri sema hajakaa kupokea anachofundishwa usitegeme mtu kama huyo atakuelewa ana yake aliyomezeshwa basi ukimgusa na hoja zingine anachanganyikiwa na kuongea vibaya,dawa ya mpuzi unampuuza
 
Jana palikua pazurii sana sio kwa migoli hile najutia sikua na mzuka wa kubashiri mambo ni kwa kiasi,jana over 2.5nyingi sana ,GG mechi nyingi zimetoa,weekend ni matajiri sasa tuweke kitita
 
Mkuu leo ukibetia magoli muhindi anakubadilishia mchezo anaanza kutoa under...
Ubashiri maana yake ni mambo ya kuoteana 😁😁😁 na hakuna aliekua na uhakika no one is sure nini kitatokea, muhindi analiwa vizuri tu mkuu hofu huondosha umakini na ujaza uoga,bashiri kwa tahadhari ndogo otherwise utaliwa kila siku,bet haitaki uoga,unaweza chukua mechi tatu tu ukaweka stake ya maana ukapasua maana uhakika ni mkubwa mechi chache
 
Kasome Zaburi 22:18.... Baada askari baada ya kigawana mavazi yake ilibaki kanzu ili wasiirarue "WAKAIPIGIA KURA ILI APATE MMOJA WAO KATI YA WALE ASKARI WANNE"... Sasa endelea na hao machungaji Yako ananunua Mafuta ya MPISHI mnauziwa anafuata udongo ubungo kajima anakuja kuwauzia na unajiona una akili. Tunazijua dini kuliko unavyofikiria mbulula wewe.

usikimbie hoja. Sijasema mavazi ya Yesu hayakupigiwa kura; naongelea kuhusu wewe kucheza kamari ya betting. Kwani kwa sababu askari walipigia kura mavazi ya Yesu, ndiyo wewe una ruhusa ya kucheza kamari? Usitumie Biblia kutetea tabia ambayo tunajadili. Jibu hoja: betting ni jambo jema au baya kwako?
 
Ubashiri maana yake ni mambo ya kuoteana 😁😁😁 na hakuna aliekua na uhakika no one is sure nini kitatokea, muhindi analiwa vizuri tu mkuu hofu huondosha umakini na ujaza uoga,bashiri kwa tahadhari ndogo otherwise utaliwa kila siku,bet haitaki uoga,unaweza chukua mechi tatu tu ukaweka stake ya maana ukapasua maana uhakika ni mkubwa mechi chache
Well said 👏
 
usikimbie hoja. Sijasema mavazi ya Yesu hayakupigiwa kura; naongelea kuhusu wewe kucheza kamari ya betting. Kwani kwa sababu askari walipigia kura mavazi ya Yesu, ndiyo wewe una ruhusa ya kucheza kamari? Usitumie Biblia kutetea tabia ambayo tunajadili. Jibu hoja: betting ni jambo jema au baya kwako?
Jagina hizo content kuna nyuzi zinahusika nazo kwa nini usipeleke huko..
 
Back
Top Bottom