Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aisee iyo id yako, duh!

haaa haaaa haaaa...... skuli kulikuwa na mtoto wa paka...mtoto wa mbwa....mtoto wa bata.... mimi kwa kuwa mswahili sana ... maneno mengi .....shombo mwnzo mwisho .....nkaitwa MTOTO WA NZI.......mpaka kesho ndio a.k.a.....
 
LUGO..... AARHUS....HAKA....FOOLAD .....ESTEGHALAL TEHRAN......wote double chance....kusiwe na droo.....point 3.3...... WAKUJILIPUA HAPO 50 LAKI NA NUSU....
 
Leo kuna hela za bure

KTP
Norrkoping
Cruzeiro
Suduva
Fakel veronezh




Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wadau naomba kuuliza, Asian handicap za (-/+) 0.25, 0.5, na 0.75 kwenye meridian mbona huwa sizioni ama zimewekwa kwa mtindo tofauti?
 
niaje wakuu jana jamaa waliongelea sanaVFL tupeni maujanja kuna trick gan pale?
 
sunderland vs tottham westbromwich vs everton nan mkubwa atashnda hap niweke mikeka mapema
 
Jamani mie niko kimya kwa muda sasa sababu kuna kitu kikubwa sana nafatilia kikienda poa nitakuwa na nyie kla siku. Tukitane kesho
 
Jinsi ya kudeposit hela kwenye meridian

Mkuu uwe unasoma post za nyuma au website ya meridianBET.. Shida yako ndo hii hapa
 
wakuu, hivi hili dodoso la double chance linajazwaje mbona mimi naliona gumu kumeza? hebu nipe maujanja wandugu.
 
Mie nasubiri hadi Jumamosi ligi ianze nitupie mikeka...

Wakuu mwenye uzoefu wa kucheza keno iplay8casino ebu nipeni trick ya kulamba pesa
 
wakuu, hivi hili dodoso la double chance linajazwaje mbona mimi naliona gumu kumeza? hebu nipe maujanja wandugu.

1x wa nyumbani ashinde au draw 2x wa ugenini ashinde au draw na 12 wafungane iki draw imekula kwako
 
wakuu, hivi hili dodoso la double chance linajazwaje mbona mimi naliona gumu kumeza? hebu nipe maujanja wandugu.

Mfano
Arsenal Vs Man City
Ukitumia double chance itakuwa hivi kama utabiri wako

Arsenal atashinda mechi au sare unaweka/inajazwa hivi [1X] yaani timu ya nyumbani itashinda au watatoka sare. 1 inawakilisha timu ya nyumbani itashinda na X inawakilisha sare

Arsenal Vs Man City
Man City atashinda mechi au watatoka sare inakuwa [2X].. Hapo kwenye 2 inamaanisha timu za ugenini itashinda na X sare

Timu zote zitatoka sare mf. 0-0, 1-1, 2-2.... inakuwekwa X au 12

Hii ndo double chance
• 1X Home team win or draw
• 2X Away team win or draw
• X 12 Both team draw
 
niaje wakuu jana jamaa waliongelea sanaVFL tupeni maujanja kuna trick gan pale?

Mkuu hii VFL huwezi kupata trick yoyote ya kucheza ili ushinde. Jana asubuhi nilijaribu kufanya research kama kweli mechi inajirudia au wanabadilibadili mechi baada ya season kuisha. So nilianza kucheki mechi ya 8 hadi 16 na kuchukua screenshot baada ya fulltime then nikasubiri next season itakuwaje ili nipime kama kweli basi nikaambulia hakuna kitu wanabadili mechi nikasema poa ngoja kesho yake muda kama huo itakuwaje nayo pia hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…