Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mfano
Arsenal Vs Man City
Ukitumia double chance itakuwa hivi kama utabiri wako

Arsenal atashinda mechi au sare unaweka/inajazwa hivi [1X] yaani timu ya nyumbani itashinda au watatoka sare. 1 inawakilisha timu ya nyumbani itashinda na X inawakilisha sare

Arsenal Vs Man City
Man City atashinda mechi au watatoka sare inakuwa [2X].. Hapo kwenye 2 inamaanisha timu za ugenini itashinda na X sare

Timu zote zitatoka sare mf. 0-0, 1-1, 2-2.... inakuwekwa X au 12

Hii ndo double chance
• 1X Home team win or draw
• 2X Away team win or draw
• X 12 Both team draw

Asante sana mkuu kwa elimu hii mujarabu.
 
niliweka mchana mkeka wa double chance.....sasa kabaki lugo na alcoron tu wasitoe sare.
 
Naona waathirika wa uamuzi huu ni wale wale wakina pangu pakavu...kama walikuwa na haki ya kuuziwa sioni sababu ya kunyang'anywa, kama sababu ni za usalama basi waanze kuwajibishwa wale walioidhinisha uuzwaji huo kabla ya kuwaadhibu wanunuaji.

Hahah mkuu timu zote hzo? Kila la heri lkn
 
Naona waathirika wa uamuzi huu ni wale wale wakina pangu pakavu...kama walikuwa na haki ya kuuziwa sioni sababu ya kunyang'anywa, kama sababu ni za usalama basi waanze kuwajibishwa wale walioidhinisha uuzwaji huo kabla ya kuwaadhibu wanunuaji.

Ebana hyo ni meridian au? Nimeiangalia vizur kumbe unaeza kupga pesa asee, kwahyo ikiwa 4.0 ndo yelow cards ziwe chin ya 4 au?
 
Ebana hyo ni meridian au? Nimeiangalia vizur kumbe unaeza kupga pesa asee, kwahyo ikiwa 4.0 ndo yelow cards ziwe chin ya 4 au?

Yeah mkuu hiyo meridian yellow cards lazima ipatikane chini ya 4..

Kawaida Kama ukipewa yellow cards yenye UO 4.0 au 3.5
-Ukachangua Under 4.0 au 3.5 yellow cards lazima ipatikane chini ya 4
-Pia ukichangua Over 4.0 au 3.5 cards lazima zipatikane zaidi ya 4
 
Nipo majaribioni kwa mechi 21 hadi next wiki kwa jero tu basi. Baadae nitaweka timu tano kwa buku 5... Tamaa mbaya kati ya mechi hizo 21 na moja wapo anaweza chana chana mkeka wote

option hii ya ukweli sana mkuu..ngoja na mm nijilipue
 
Haya haya haya ile week ya kula mamilioni inakuja. Tuwekezeni mahela tumuondoe mhindi
 
Dah, Hii game ya US na Lithuania inatia pressure sana. yaani wanafungana taratiiiibu. Hawajui watu tumeweka mzigo huku.?

CC: Biohazard
 
Dah, Hii game ya US na Lithuania inatia pressure sana. yaani wanafungana taratiiiibu. Hawajui watu tumeweka mzigo huku.?

CC: Biohazard

nimeichek lithuania kazingua sana mipira ya penat yan wamekosa sana
 
Mimi siku zote naogopa GG, NG, over, under, red card na yellow. Mie huwa natoa win tu basi
 
nimeichek lithuania kazingua sana mipira ya penat yan wamekosa sana

Was....ge sana hawa jamaa yani unaweza uwa mtu, tena lithuana ndo mzinguaji kabisa anakosa kosa k....mae mae zake.

Yani siku nikiweka mikeka kimya kimya nakula niweka jamvini kimeo haki ya mungu sasa kesho narudi kwa babu
 
Back
Top Bottom