tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Mfano
Arsenal Vs Man City
Ukitumia double chance itakuwa hivi kama utabiri wako
Arsenal atashinda mechi au sare unaweka/inajazwa hivi [1X] yaani timu ya nyumbani itashinda au watatoka sare. 1 inawakilisha timu ya nyumbani itashinda na X inawakilisha sare
Arsenal Vs Man City
Man City atashinda mechi au watatoka sare inakuwa [2X].. Hapo kwenye 2 inamaanisha timu za ugenini itashinda na X sare
Timu zote zitatoka sare mf. 0-0, 1-1, 2-2.... inakuwekwa X au 12
Hii ndo double chance
1X Home team win or draw
2X Away team win or draw
X 12 Both team draw
Asante sana mkuu kwa elimu hii mujarabu.