Biohazard
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 2,197
- 1,465
Mimi siku zote naogopa GG, NG, over, under, red card na yellow. Mie huwa natoa win tu basi
Yani sahizi nidandia basi hapa sijui ni timu gani zinacheza nimekua moja inaongoza dk ya 69 na odds ni 1.48 nikaipa bila woga yani nahisi nimechanganyikiwa baada ya kupigwa.
Sahizi dk ya 90 naomba mpira uishe nirudishe hata nusu ya hela niliyoweka leo.