Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jana wahindi wamefurahi sana ila leo nimeamia iplay8 sababu ndo nina balance, sitaki kufund tena account yangu ya meridian kwa sasa sababu nadaiwa laki 2 ili nirudishe mtaji.

Iplay mie nimewakimbia toka zamani
 
Lugo,cruzeiro,corinthian,Barcelona sc jana hz c zilmpga mtu mbona mbet hawajatuma mpunga wangu mpaka muda huu
 
mie naanza business leo I hope by Sunday evening ntakua nacheka, chochote mbele yangu nabet kuanzia boxing, tennis, nfl, hockey , football
Mayweather Vs Maidana, Kesho unamuwekea pesa nani mkuu..??
 
Mkuu mie ntatupa 50.000 kwa maidana, nna uhakika Mayweather anaweza pakatwa safari hii

mpe myweather coz mtu mwenye mkanda kupigwa ngum sana hata kama anaonekana kapigwa. Kupigwa kwake had knock out lakin kinyume cha hapo atabebwa inakua draw
 
Benficaaaaaaa....... shindaaaaaa..... umebaki peke yako... rosenborg...midystland....kaiserlautern.....steua bucarest......rangers ana 3 bila......benfica shindaaaaaa ......plzzzzzzzz...... tuliomfungia benfica........tufunge swala......
 
Benficaaaaaaa....... shindaaaaaa..... umebaki peke yako... rosenborg...midystland....kaiserlautern.....steua bucarest......rangers ana 3 bila......benfica shindaaaaaa ......plzzzzzzzz...... tuliomfungia benfica........tufunge swala......

shangilia ushindi,benfica anaongoza 3 bila
 
mkeka wangu wa leo: man city, chelsea, southmpton, evertone, stoke ,spurs, crystal palace na liverpool .natupia 100,000 leo. Ushauri jamani wanandugu kabla sijafanya maamuzi magumu .
 
DORTMUND....CHELSEA....BARCA....LIVERPOOL...AJAX.....JUVE....HEARTS....... point 8..... 20000...... 160000 faastaaaaa......
 
jana mtandao ulikua unasumbua, wale wapenzi wa over/under wa leo huu hapa.. NO GUARANTEE
 
unaruhusiwa ku-edit
 

Attachments

  • 1410580284501.jpg
    79.1 KB · Views: 130
Heleluya wazee wenzangu leo naona siku imeanza vizuri, nawatakia biashara njema ngoja
 
Jamani m-bet mbona hawajanirushia mpunga wangu? Daaaa! Inawezekana wamesha fulia nini?
 
Wakuu msaada hapo ndo kwanza naanza leo...nimeweka 15000 tu nipeni mwongozo nataka nibet 10000
 

Attachments

  • 1410587978095.jpg
    75.9 KB · Views: 141
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…