heheehee...! mama anashangaa watu wanaongelea pesa tuu humu ndani pasipo biashara inayofanyika kueleweka vyema.
Mkuu Rock nasoma sana hii mada lakini sielewi,naomba nieleweshe faida yake na jinsi ya kujiunga
Game nilikuwa naiogopa sana hiyo. Ila Man city anashinda hii mechi.
View attachment 185051
Wa pili huu hapa.
View attachment 185052
Wa tatu huu
View attachment 185053
Wa nne huu.
View attachment 185054
Haya wadau fanyeni compilation nitoe mmoja wa mwisho wenye timu nne kati ya hizo nilizochagua.
hahaha mzee wenger analalisha watu njaa humu leo, nasuburi vilio tu hahah..
tayar tushachaniwa mikeka. Ngoja mtaalam Andybird aje tumsikie vizur
nikosa kuweka timu moja kwenye mikeka miwili, nimemuona Everton, akipigwa tu... mikeka yote imechanika
naona umejitoa ufahamu, watu kama nyinyi mnahitajika sana humu wanao fikiri nje ya boksi..
Hii 28+ inaweza ua mtu kwa presha.
goli limefungwa dakika ya 27 na sekunde zake
leo 13/09/2014arsenal vs man city draw
crystal palace vs burnley (win crystal palace)
southampton v/s newscaster draw
stoke city v/s leicester city (stoke city) win
elfu kumi inanipa laki 410,000