Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
- #4,421
Meridian website yao haipo sawa kabisa. Yaani inachukua muda mrefu kuload. Hawajui watu tumeweka mizigo yetu na tunacheza live.?
mi nimechezea kilingeni kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meridian website yao haipo sawa kabisa. Yaani inachukua muda mrefu kuload. Hawajui watu tumeweka mizigo yetu na tunacheza live.?
mi nimechezea kilingeni kwao
6--View attachment 185051
Wa pili huu hapa.
View attachment 185052
Wa tatu huu
View attachment 185053
Wa nne huu.
View attachment 185054
Haya wadau fanyeni compilation nitoe mmoja wa mwisho wenye timu nne kati ya hizo nilizochagua.
chunguza vizuri EPL lazima kila wiki mkubwa mmoja au zaidi either agongwe au atoe saleeJaman ivi kweli liverpool ndio yakupigwa na aston villa? Daaaa! Sitarudia tena kuidhamin! Sh.e.n.z.i! Liver amenikosesha laki na ushee!
England sizani Kama kuna Tax kwa wachezaji ila Tanzania sijui kuna mtu aliniambia sasa sijui Kama kweli manake vya kuambiwa vengine bora uone mwenyewe nasikia Masaki ya Dar Es Salaam kuna sehemu wanachezesha Kamari za mbio za Mbwa ila Wanawawekea watu recorded kwa mwenye kuijua Hiyo sehemu ni kweli? Kama kitu wamerekodi mtu ukaijua hizo mbio Ushawahi kuziona siutawashinda Mwisho washindwe kukupa pesa zako? Na Kama kweli wanafanya Hivyo kisheria je inaruhusiwa?Hivi serikali inachukua kodi yake kwa hawa wacheza kamari?
Watakuja Kuwa wagonjwa soon sawa na ulevi au madawa ya unga ukiendekeza sana Kamari zitawapa Stress mbaya wasizidishe mpaka kuvuka mpaka wakaja kupoteza Mali zao mwisho.Hahaha dah ila nimeskia vijana wengi under 18 wanapiga mkeka kama hawana akili timamu, dah
Watakuja Kuwa wagonjwa soon sawa na ulevi au madawa ya unga ukiendekeza sana Kamari zitawapa Stress mbaya wasizidishe mpaka kuvuka mpaka wakaja kupoteza Mali zao mwisho.
wazee hv kuna mtu aliyekula mpunga mech za jana kwel, mana matokeo yamekaa kinoko kwel
Mbona jukwaa limepooza tokea jana.?
Wapi andybird, deo corleone, biohazard, asrams ulichungulia ukasepa. Rockcity native. Paka mbaya, mtoto wa nzi,
Pia msisahau wale mnaompiga muhindi kusema hapa jamvini, kwani ushuhuda wenu ni wa muhimu kuwatia nguvu wale wanaopigwa waamini ipo siku watampiga muhindi na wao.
Haaahaaaha
wazee hv kuna mtu aliyekula mpunga mech za jana kwel, mana matokeo yamekaa kinoko kwel
leo kitu changu hiki
leo kitu changu hiki
kikwapi?