Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jaman ivi kweli liverpool ndio yakupigwa na aston villa? Daaaa! Sitarudia tena kuidhamin! Sh.e.n.z.i! Liver amenikosesha laki na ushee!
 
View attachment 185051

Wa pili huu hapa.
View attachment 185052

Wa tatu huu
View attachment 185053

Wa nne huu.
View attachment 185054

Haya wadau fanyeni compilation nitoe mmoja wa mwisho wenye timu nne kati ya hizo nilizochagua.
6--
huo ni uzembe wa hal ya juu...nikipiga hesabu za harakaharaka umetumia kama sh20000/= ungeweka game za double chance(12) game 5 tu........ zenye odds ya 1.30*1.30*1.30*1.30*1.30== 3.7*20000==74258.6/= faida elf hamsin ..ni ushaur wa bure tuu..
 
Jaman ivi kweli liverpool ndio yakupigwa na aston villa? Daaaa! Sitarudia tena kuidhamin! Sh.e.n.z.i! Liver amenikosesha laki na ushee!
chunguza vizuri EPL lazima kila wiki mkubwa mmoja au zaidi either agongwe au atoe salee
 
Hivi serikali inachukua kodi yake kwa hawa wacheza kamari?
 
Hivi serikali inachukua kodi yake kwa hawa wacheza kamari?
England sizani Kama kuna Tax kwa wachezaji ila Tanzania sijui kuna mtu aliniambia sasa sijui Kama kweli manake vya kuambiwa vengine bora uone mwenyewe nasikia Masaki ya Dar Es Salaam kuna sehemu wanachezesha Kamari za mbio za Mbwa ila Wanawawekea watu recorded kwa mwenye kuijua Hiyo sehemu ni kweli? Kama kitu wamerekodi mtu ukaijua hizo mbio Ushawahi kuziona siutawashinda Mwisho washindwe kukupa pesa zako? Na Kama kweli wanafanya Hivyo kisheria je inaruhusiwa?
 
Hahaha dah ila nimeskia vijana wengi under 18 wanapiga mkeka kama hawana akili timamu, dah
Watakuja Kuwa wagonjwa soon sawa na ulevi au madawa ya unga ukiendekeza sana Kamari zitawapa Stress mbaya wasizidishe mpaka kuvuka mpaka wakaja kupoteza Mali zao mwisho.
 
Watakuja Kuwa wagonjwa soon sawa na ulevi au madawa ya unga ukiendekeza sana Kamari zitawapa Stress mbaya wasizidishe mpaka kuvuka mpaka wakaja kupoteza Mali zao mwisho.

Usemayo ni kweli kabisa, kama.hujui unachokifanya hata hela ya mboga nyumbani unaweza kwenda iweka kwenye mkeka,
 
wazee hv kuna mtu aliyekula mpunga mech za jana kwel, mana matokeo yamekaa kinoko kwel
 
Mbona jukwaa limepooza tokea jana.?

Wapi andybird, deo corleone, biohazard, asrams ulichungulia ukasepa. Rockcity native. Paka mbaya, mtoto wa nzi,

Pia msisahau wale mnaompiga muhindi kusema hapa jamvini, kwani ushuhuda wenu ni wa muhimu kuwatia nguvu wale wanaopigwa waamini ipo siku watampiga muhindi na wao.

Haaahaaaha
 
ndugu naona wame declare state of emergence
 
wazee hv kuna mtu aliyekula mpunga mech za jana kwel, mana matokeo yamekaa kinoko kwel

Kimsingi matokeo ya jana yalikuwa mazuri ila tamaa.imewaponza wanajukwaa

Mfn aliyechagua team kubwa zinazoshinda kwa uhakika kama

chelsea.. Borrusia dortmund. Bayern munich. Roma. Juventus... Anakula pesa

lakini watu humu jukwaani mkeka mmoja mechi 12 how?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…