Namimi nimefungua pia tupo mkabalaNimefunga biashara/duka....Tukutane kesho
Watu tuna hasira ya kupigwa na Kanjhi wewe unatuletea siasa peleka mahali panapostahiki sio hapa.Difference between Trump and Clinton jamiiforums.com
Mr wise tupia dondoo za leo,nina shida ya laki 5,stake sio shidaKuna jukwaa la siasa na biashara
Nimefunga biashara/duka....Tukutane kesho
Hahahahahaaaaa! Mr.Wise amekuwa mtamu kama mcharo,amekuwa tegemeo la wengi,huyu ndo KICHUYA wa kwenye hii thread,dah mnamchosha mchizi maana kila mtu anamuomba odds kivyake labda mkitusua mkumbuke kumpa disturbance allowance maana naamini ana heavy paper work, tehetehetehetehe.But never abandon your generocity coz ur efforts rescue many of us.
halaf siku ukiamua kuwafuata full kipigo utakachopata duu nihatari sana but NO TRETREAT NO SURRENDERIlikuwa siku nzuri jana kwa waliowafuata hawa jamaa ... Odds 11.84
![]()
![]()
Hii ni usiku wa kuamkia kesho mkuu? Thanks in advance
Wakuu hizi preseason za NBA ni za kuachana nazo, matokeo siyo realistic kabisa.
Application gn hii mkuu
Kweli aisee, nilivagaa za uso kwa Minnesota ... hatareee sn Chief. Nikajuta kwa nini sikumfuata San Antonio Spurs, huwa namuelewa.
Hapo ndio mchezo unakuwa mgumu.mechi zipo 100 lakin nakosa japo odds4.
huuwa naumia sana n hatariiiHapo ndio mchezo unakuwa mgumu.