Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Odds 3.37
1476172941700.jpg
 
HABARI ZA LEO WAKUU!
Leo kuna game nyingi sana natumai ingependeza kila mtu angepost odd 2 ambazo ana uhakika nazo.
*Umoja ni nguvu*
 
Fixture Odd Selection Bet closes at
Australia - Japan 1.75 Yes Oct 11, 2016 - 12:00 pm
Iran - South Korea 2.14 Yes Oct 11, 2016 - 4:45 pm
Kazakhstan - Romania 2.15 Yes Oct 11, 2016 - 7:00 pm
 

Chinise Taipei vs East Timor - 1
Laos vs Maldives - 2
Rep. Ireland U19 vs German U19 - 3+
Gibraltar U19 vs Albania U19 - 3+
Australia vs Japan - Goals 2-4
-----
Odds 6.81

 
Kwa buku ten inaleta 68 elfu... Let's go
 

Attachments

  • 1476176593950.png
    1476176593950.png
    21.7 KB · Views: 45
ENGLAND (U21) 1.23 WIN
NORWAY 1.01 WIN
GERMANY 1.12 WIN
POLAND 1.15 WIN
ARGENTINA 1.28 WIN
Mechi nyingi sana 5 kwa odds 2.04...hatari kupoteza pesa..okey huu mchezo unahitaji imani iliyopitiliza hata odds ya 1.01
 
Leo mechi kama mvua..
Wachawi kibao..
option ya kupunguza hatari labda 2+...
Euro wcq
Euro u21
Euro u19
Wcq Asia
South america wcq
 
Mechi nyingi sana 5 kwa odds 2.04...hatari kupoteza pesa..okey huu mchezo unahitaji imani iliyopitiliza hata odds ya 1.01
Ni kweli hizo mechi ni nyingi ni bahati mbaya kaweka Flat Outcome. Naogopa sana aina hiyo ya betting
 
Wadau Jana mhindi alikosea odd kwenye mechi ya Spain akaweka odd 14 baadae akabadilisha baada ya kugundua sasa hadi mda huu hajarudisha pesa na wala haja hajatoa muamala kwa tulioshida
 
Wadau Jana mhindi alikosea odd kwenye mechi ya Spain akaweka odd 14 baadae akabadilisha baada ya kugundua sasa hadi mda huu hajarudisha pesa na wala haja hajatoa muamala kwa tulioshida
Fuatilia post zangu za jana kuhusu mkasa huo niliweka case mbili tofauti juu ya jambo hilo na tayari mapema asubuhi tu kanilipa cha kwangu
 
Back
Top Bottom