Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

naona taratiibu vilio vinaanza, ule muda wa presha ndio huu sasaa..
 
Dah, hii meridian siku za weekend online siyo kabisa. Yaani website iko slow weeee.
 
Dortmund, Bayern, Liverpool wameua mikeka yangu yoteeee
 
Dah kweli betting si nzuri kwa leo Dortmund kabisaaaaa
 
Hadi atletico nae anapigwa leo daaaah nimekufa leo
 
andybird314 usikate tamaa, wewe ukiendelea ndio unatupa na sisi nguvu ya kuendelea
 
Last edited by a moderator:
andybird314 usikate tamaa, wewe ukiendelea ndio unatupa na sisi nguvu ya kuendelea

Yaani leo nimepoteza 50000 ila si kubwa sana maana haikutoka kwenye mfuko wangu, ni moja ya dividends za meridian baada ya kushinda.
Mimi sikati tamaa naendelea bet kama kawaida hii ni biashara kila siku hadi mhindi anifungie account
 
Last edited by a moderator:
Liverpool mie niliiacha tokea Suarez ameondoka pale.
 
Back
Top Bottom