HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Jamani Tp mazembeeeee
Mkuu wewe uliwapa Mazembe mie niliachana nao maana walipewa odds kubwa nikajua kifo chaja. Sisi twalia na Dortmund, bayern, na wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani Tp mazembeeeee
yani bundesliga imeua mikeka mingi sana leo duniani
Dah, hii meridian siku za weekend online siyo kabisa. Yaani website iko slow weeee.
Nataka kujua jinsi ya kuweka mzigo(kubet) kupitia Ladbroker na Meridian
Mie nimejiunga ladbrokers napiga mikeka alafu option kibao unamaliza ishu zote kwenye internet na hela inaingia wewe ni kwenda pale new afrika cassino unachukua mpunga wako ni rahisi sana kujiunga
Kaka Mimi nataka online,Coz mimi natumia M-BET na haina option nyingi.Embu nieleze kwa kifupi sana hii Meridian labda jinsi ya kuulipia Mkeka na ukila mkwanja unatumiwa vipi
Leo nimeamua kujilipua
Nifundishe na mimi ya online paka mbaya
Ingia google andika meridianbet.co.tz unajisajil wanakutumia link kwenye e-mail yako ili uactivate account yako ukishatoka hapo unaweza kudeposit kwa kutumia mpesa au kwa debit card na kutoa ela hivyo hivyo unaweza kutoa ela kwa mpesa au kwa debit card yako jinsi ya kucheza unachagua mchezo unaotaka kama football itakuletea nchi husika kwa mfano england,italy n.k sasa kama utaclick england itakuletea ligi zote za england kwa siku hyo kwahyo kama mzee wa barclays premier bas utaclick hapo kama mzee wa championship utabonya hapo itakuletea mechi husika na odds zake
Nimekuelewa Mkuu na Ahsante sana
Dau kwenye Meridan bet linaanzia shingapi
300tsh ndo dau dogo
Aha shukrani,kwa hiyo nikijisajili ndio nitachagua jinsi ya kuweka mkwanja na kutumiwa
Mkwanja unaweka na kutumiwa kwa mpesa
Samahani mkuu kwa maswali mengi,kwani kujua kitu kiundani ndio mafanikio
Na idadi ya timu mwisho kuweka ni ngapi.....?
