Sam pizzo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 846
- 521
wazee wenzangu wa mikeka nilikuwa na wazo kuwa umoja ni nguvu kwann tusiwe na tamaduni ya kila mtu ataje timu zake kadhaa ambazo ana tumain nazo kubwa kuwa zitashinda.Then mtu anachagua kwa kila mtu chache[dunduliza] nadhan inaweza kusaidia sana kuepukana na balaa la timu 1 au mbili kuharibu mkeka.