Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wazee wenzangu wa mikeka nilikuwa na wazo kuwa umoja ni nguvu kwann tusiwe na tamaduni ya kila mtu ataje timu zake kadhaa ambazo ana tumain nazo kubwa kuwa zitashinda.Then mtu anachagua kwa kila mtu chache[dunduliza] nadhan inaweza kusaidia sana kuepukana na balaa la timu 1 au mbili kuharibu mkeka.
 
mkuu server ya meridian iko slow[chini] kurespond kila ifikapo jmos au jpili,nadhani server yao itakuwa inazidiwa
 
ngoja mi nianze. Kwa leo game nilizo na uhakika ni psg na roma.. Roma huwa wazuri sana ligi inapokua mbichi. Msim uliopita walishinda game 10 mfululizo za mwanzo. Psg watashinda tu coz lyon ya leo sio ya juzi
 
mkuu mm nazoziamini ni everton,roma,benifica,porto,psv,shaktar donetsk,celtic,Astra giurgiu,ventspils,salzburg,totenham,airbus[wales],chama langu messi fc,debrecen,viktoria plzen,sparta praha,pfc ludogorets,macab tel avivi.
 
mkuu mm nazoziamini ni everton,roma,benifica,porto,psv,shaktar donetsk,celtic,Astra giurgiu,ventspils,salzburg,totenham,airbus[wales],chama langu messi fc,debrecen,viktoria plzen,sparta praha,pfc ludogorets,amcab tel avivi.
 
astra giurgiu , spurs, cictoria plzen, sparta praha hapa tupo wote.....

man utd simuamini
 
mkuu mm nazoziamini ni everton,roma,benifica,porto,psv,shaktar donetsk,celtic,astra giurgiu,ventspils,salzburg,totenham,airbus[wales],chama langu messi fc,debrecen,viktoria plzen,sparta praha,pfc ludogorets,amcab tel avivi.

pamoja sana mtu wangu hapo ni 95%.zitashinda mm nimeweka kama 3 kwa mkeka mmoja kesho lazima nikale bata!
 
Chelsea, Evetorn, Toternham, salzburg, Barca, plzen,sparta nimekaaa hapo hapo.
 
Naona vigogo vimeangua leo wk end inaendelea kuwa mbaya .

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom