Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Watu inakuwaje mwaweka Man U mie nishamuacha.
Totternham nae bye bye
 
Network ya Tigo huku ninapokaa inasumbua kweli kweli, Nimejiunga meridian leo baada ya kuona jamaa kashinda kwa red card na penalty.

huku meridian unaangaliaje ticket?
 
Network ya Tigo huku ninapokaa inasumbua kweli kweli, Nimejiunga meridian leo baada ya kuona jamaa kashinda kwa red card na penalty.

huku meridian unaangaliaje ticket?

Ingia kwenye account hafu bonyeza kwenye tiket hafu set tarehe uliyoweka mkeka hafu bonyeza search
 
cjui nitapiga
 
Attachments

  • 1411315021726.jpg
    1411315021726.jpg
    47.4 KB · Views: 111
Ahaaaaaaa! Beeeeeeeee! Wakubwa wameua bendi everton,tot,man u,hawa sitarudia tena! Lakini siachi ni kuwa makini tu wazee wenzangu! Usiku mwema
 
Back
Top Bottom