east36
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,306
- 492
haka kawiki sitakasahau
hahah ndugu mpaka nikaamua niikimbie iplay, hatari sana. Maji ya shingo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haka kawiki sitakasahau
hahah ndugu mpaka nikaamua niikimbie iplay, hatari sana. Maji ya shingo..
naona unawasubiri psg tu hapo
Ahaaaaaaa! Beeeeeeeee! Wakubwa wameua bendi everton,tot,man u,hawa sitarudia tena! Lakini siachi ni kuwa makini tu wazee wenzangu! Usiku mwema
pole mkuu, mi mwenyew leo mambo yamegoma kabsaa...kina Lazio wamechana.....ngoja nilale hawa kina PSG wasinipe presha kwa huu mkeka uliobaki......alaf wakuu mi nimejifunza kitu fulani, timu zinacheza Possesion football kama Barca, Arsenal and the likes si vizuri sana kuwawekea hizi option za penalty na red card...chukulia mfano haka ka Neymar kakiguswa kidogo tu kanajiangusha, Messi nae mzee wa kudrible akikuboa unampiga buti n,k ukienda kwa Arsenal mchezaji kama Wilshere huwa anachezewa rafu sana...timu hizi za quick passing sio kabisa....Pia Man City sio wakuamini maana nilicheki gem yao walipocheza na Arsenal, izo rafu walizokua wanacheza...hadi sio vizuri !!! Nadhani ndo maana leo wamelamba red card though sikuchek gem! japo kuwa haya mambo yanaenda na bahati......Pia tuwe tunafanya analysis refa gani anachezesha gemu......marefa wengine sio wavumilivu....kuna huyu Mike Dean wa EPL ana roho mbaya kichizi...usiku mwema wadauhahahaaa mi naona hakuna afazali zote sawaaa tuu :lol: :lol:
Ila hii kitu sjui vp....kuna mtu jana kaweka ht/ft kwenye premier kachukua million mbili na laki 8
hf/ft ukiipatia hasa ya 1/2 au 2/1 ukitia laki, hata ule mara moja kwa mwezi dili sana
hf/ft ukiipatia hasa ya 1/2 au 2/1 ukitia laki, hata ule mara moja kwa mwezi dili sana
Yani mi kila wiki nlikiwa nshatengeneza kaji formula cha kumuotea kwenye handi cap...ila wiki iliopita na hii wiki kanipiga za uso
Hela iliotoka hyo 2 mil mi nkaona impossible
mkuu kwenye handicap mimi sielewi hii kitu, ufafanuzi kidogo please!
mfano timu zinacheza timu a vs b halafu handicap ni +2.5 na -2.5 au +1.5 na -1.5 au +0.5 na -0.5
na handicap drwa inakuwaje??
mkuu basket unacheza site gani?Heeehee, leo nilisoma upepo wa mpira. Nikakimbilia katika basket. Aaah, sasa burudani tuu. Ni pressure.
mkuu basket unacheza site gani?
meridibet au ?
unacheza in play au before kickoff??