Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hahahaaa mi naona hakuna afazali zote sawaaa tuu :lol: :lol:
pole mkuu, mi mwenyew leo mambo yamegoma kabsaa...kina Lazio wamechana.....ngoja nilale hawa kina PSG wasinipe presha kwa huu mkeka uliobaki......alaf wakuu mi nimejifunza kitu fulani, timu zinacheza Possesion football kama Barca, Arsenal and the likes si vizuri sana kuwawekea hizi option za penalty na red card...chukulia mfano haka ka Neymar kakiguswa kidogo tu kanajiangusha, Messi nae mzee wa kudrible akikuboa unampiga buti n,k ukienda kwa Arsenal mchezaji kama Wilshere huwa anachezewa rafu sana...timu hizi za quick passing sio kabisa....Pia Man City sio wakuamini maana nilicheki gem yao walipocheza na Arsenal, izo rafu walizokua wanacheza...hadi sio vizuri !!! Nadhani ndo maana leo wamelamba red card though sikuchek gem! japo kuwa haya mambo yanaenda na bahati......Pia tuwe tunafanya analysis refa gani anachezesha gemu......marefa wengine sio wavumilivu....kuna huyu Mike Dean wa EPL ana roho mbaya kichizi...usiku mwema wadau
 
Yani mi kila wiki nlikiwa nshatengeneza kaji formula cha kumuotea kwenye handi cap...ila wiki iliopita na hii wiki kanipiga za uso
 
Nlikuwa bado kwenye majaribio hvyo skuweza kuweka chochote maana ninhekuwa napotosha watu....ila bado nasurvey nkipata njia nafuu kama hyo ya red card ntashare
 
Kama kuna mtu anaijulia ni vizur tukishare maana alinionyesha nkaona ananitania...saiv ngekuwa na mi naongelea mengine
 
Yani mi kila wiki nlikiwa nshatengeneza kaji formula cha kumuotea kwenye handi cap...ila wiki iliopita na hii wiki kanipiga za uso

mkuu kwenye handicap mimi sielewi hii kitu, ufafanuzi kidogo please!

mfano timu zinacheza Simba vs Mtibwa

halafu handicap ni +2.5 na -2.5 au +1.5 na -1.5 au +0.5 na -0.5

mfano nataka Simba ashinde ushindi wa tofauti wa magoli matatu au zadi yani 3-0 ndio nampa, handicap ya +2.5 au -2.5 ?

na handicap drwa inakuwaje??
 
Hela iliotoka hyo 2 mil mi nkaona impossible

mkuu inawezekana kula milioni na ushee, mimi nimeshapiga emu na ushee kama mara 3, lakini huwa nacheza elfu50 kula pesa hizo.

juzi nimeweka timu 8 na sh elfu2 , odds jumla zikaja 68, nikaweka elfu2 kama utani nikatusua, laki na 36 ! Nitajilaumu hadi kesho kutwa why sikuweka elfu50, kwa odds za 68 manake ningekula zaidi ya miln 3!
 
mkuu kwenye handicap mimi sielewi hii kitu, ufafanuzi kidogo please!

mfano timu zinacheza timu a vs b halafu handicap ni +2.5 na -2.5 au +1.5 na -1.5 au +0.5 na -0.5

na handicap drwa inakuwaje??

Mi huwa nacheza ya full tym....nina analyse matokea ya nyuma ndo na angalia prediction inakaa vp....kuna mkeka wa mwisho kula last sunday ilikuwa ya hyo formula...tena kwa premie somtymz znajieleza tu.....sasa kuna site huwa naztumia zikiwiana pamoja na prediction ya mwindi naweka
 
Hyo uliopost hapo juu sjawai kuifiatilia maelezo yake kwa kwel.....ila humu humu ndan tutapata ufafanuz...kuna ma gwiji zaidi yangu
 
Heeehee, leo nilisoma upepo wa mpira. Nikakimbilia katika basket. Aaah, sasa burudani tuu. Ni pressure.
 
Network ya Tigo huku ninapokaa inasumbua kweli kweli, Nimejiunga meridian leo baada ya kuona jamaa kashinda kwa red card na penalty.

huku meridian unaangaliaje tickect

Mkuu umejiungaje na Meridian,naomba Maelekezo kuhusu Meridian
 
mkuu basket unacheza site gani?
meridibet au ?
unacheza in play au before kickoff??

Nacheza meridian, inplay i.e live betting. Sema meridian baadhi ya mechi hasa za kirafiki hawawekagi katika time table.
 
Back
Top Bottom